Ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bayun mjini Guangzhou nchini China.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
 
Uzuri sasa hivi hayo mapangaboi ya dikteta JEWEpm hayawezi kukamatwa na wadai maana wana matumaini ya kulipwa
 
Sipingi ufufuaji wa ATCl, nashauri serikali iweke management nzuri na mikakati mizuri ya kibiashara ili tuweze kuwa competitive!

Tukichagua route ambazo zina abiria wengi na tukawa na service na bei nzuri pamoja na udogo wetu tunaweza tukabreak the Ice tukafanya vizuri na kuwa shirika lenye nguvu!

Ila wakiendekeza undugu na ujuani mwingi lazima shirika litakufa tu!

Natamani sana tuwe na shirika lenye nguvu sana tuweze kuboost utalii!!
 
Back
Top Bottom