Ndege ya Jeshi la Iran yaangushwa Syria

Ndege ya Jeshi la Iran yaangushwa Syria

I commend you for this clever comment. Truly you are a scholar on some issues.

Mkuu nikwambie kitu, Amerika itanoa vibaya sana ikijitia kutekeleza njama zake za kutaka kuanzisha Taifa la Wakurd, wakumbuke njama hizo zitafanya nchi ambazo hazitaki Taifa la kikurdi kuanzishwa Mashariki ya kati zitaungana kuhujumu mpango mzima wa Marekani overtly au convert, Wamerika wasanii sana kwa nje Marekani aitaki ionekane inabariki mpango huo kumbe ni maiigizo tu - Mataifa ya Iraq, Syria, Uturki na Iran ambazo zina raia wengi wenye asili ya Kikurdi hawatakubalina na ujinga huo - binafsi naona mpango huo utakufa kifo cha mende - yetu macho mkuu. CHEERS.
Kwenye mizani Assad sio mzito kama nchi ya syria.
Ujinga uliofanyika ni kujitutumua kwake bila kuwa na maarifa ya kutosha au angalau maarifa ya kufaa.
Assad by default amewaalika mabaradhuli kutoka kila pembe ya dunia kuja kuinajisi Syria.
Ilikuwa aiheshimu ardhi ya baba na babu zake kwa kutoka madarakani.
Sasa yeye mwenyewe haongozi kama impasavyo kiongozi kuongoza, na nchi yake imegeuka uwanja wa majaribio ya silaha, mafunzo ya kijeshi na uharamia wote uujuao.

Assad angeutendea haki msemo huu japo unaukakasi.

"when the rape is inevitable just lay black and enjoy"
 
Kiduku yeye ni mwali ndio maana matukio na matamko yake yote anatolea chumbani kwake huku akiwa kavaa khanga na shanga ligi ngumu na za kibabe kama hizi huwa anaziona kwwnye TV na kuzisoma kwenye net tuu.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mafuta mkuu,...kitu weseee
maneno ni mengi,wengine wanadai ni bomba la gesi toka qatari kwenda ulaya,urusi anamiliki 30%+ ya soko l gesi ulaya,sasa syria ikibebwa na ukrain lile eneo la mgogoro lina miundo mbinu yake ya gesi,unadhani maisha yatakuwaje kwa mrusi!?..pia yatakuwaje kwa iran ikiwa syria atawekwa kibaraka wa marekani?..itakuaje kwa turkey ikiwa wakurd watapata silaha?
 
Marcus tango pori lishamla kichwa mrusi na shahidi mmoja kutoka Iran...sisi sio US apologists lakini tunaona US anaendeleza ubabe wake anga
analipiza manowari yake kipofu ilivyotandikwa na meli ya kibiashara kule japani,maana meli kaijenga kwa muda mrefu kwa tech ya hali ya juu halafu wahuni wameipiga kibooya
 
Kwenye mizani Assad sio mzito kama nchi ya syria.
Ujinga uliofanyika ni kujitutumua kwake bila kuwa na maarifa ya kutosha au angalau maarifa ya kufaa.
Assad by default amewaalika mabaradhuli kutoka kila pembe ya dunia kuja kuinajisi Syria.
Ilikuwa aiheshimu ardhi ya baba na babu zake kwa kutoka madarakani.
Sasa yeye mwenyewe haongozi kama impasavyo kiongozi kuongoza, na nchi yake imegeuka uwanja wa majaribio ya silaha, mafunzo ya kijeshi na uharamia wote uujuao.

Assad angeutendea haki msemo huu japo unaukakasi.

"when the rape is inevitable just lay black and enjoy"
tunapigana vita ili tuishi kwa amani
 
Sio Ndege ya Iran.....Sema kandege kasiko kua na rubani au # Drone.....Iran imeipatia Syria [HASHTAG]#Drone[/HASHTAG] mbali mbali za kufanya uchunguzi, za kushambulia nk nk....Syria kuna drone nyingi sana ambazo zina operate IS wana drone,Syria rebels wana drone,Syria Arab army wana drone, Russia wana drone, Iran wana drone, Turkey wana drone, Israel wana drone US led coalition forces nao pia wana drones.....So Anga ya Syria ipo busy na madrones that's y utasikia daily baadhi ya drone zinaangushwa maana zingine km hii ya hizi za Iran [HASHTAG]#Shaheed[/HASHTAG] 129 attacking drone hizi zinauwezo wa kushambilia tokea angani uku zikiwa hazina rubani....Mwez wa Pili au Tatu Turkey walilalamika baada ya wanajeshi wake wanne kuuliwa tokea angani na hizi drone.....Iran ana aina zaidi ya 10 za drone hivyo tutegemee Syria kutokutulia kwasasa kwani wanazizalisha hizi kwa wingi hivyo kupose risk kwa US led coalition forces.... US kwasasa amejionesha dhahiri kua lengo sio kupigana na IS Bali yupo nyuma yao kuwasaidia na kuunda [HASHTAG]#Kurdish[/HASHTAG] State ambayo inapingwa vikali na Iran, Turkey, Irak na Syria kwan ktk maeneo yote ayo jamii yao ya wakurdish ipo ktk nchi hizi zote.....So tutegemee vita hii kuendelea kwan US anapenda sana vita na hataki kupoteza ushawishi....Lastly IRAN italazimika kupeleka [HASHTAG]#Air[/HASHTAG] defense system wanazozitengeneza ili kujilinda na kuyalinda makundi yake sipati picha [HASHTAG]#Sayad[/HASHTAG] 2, zikipelekwa Syria hali itakuajr
 
Wake up mkuu Iran ananunua defence stystm kwa russia mara hii anatengeneza....ns hizo drone wameanza siku za karibuni nategemea flaws nying ktk utendaji kazi.
Usiandermine uwezo wa US ktk anga mkuu amejizatiti na anawekeza vyakutosha hapo
 
Sio Ndege ya Iran.....Sema kandege kasiko kua na rubani au # Drone.....Iran imeipatia Syria [HASHTAG]#Drone[/HASHTAG] mbali mbali za kufanya uchunguzi, za kushambulia nk nk....Syria kuna drone nyingi ajr
hizo sayad na bavar zitaongeza nn cha ziada zaid ya S-400 iliopo, air defense zilizopo syria zote ni useless coz ikitokea ndege ya trump imefumuliwa pale sijui itakuwaje maana watakua wamepata sababu wazliokua wanaitafuta
 
Mkuu ugomvi unahusu ujenzi/kutandaza bomba la kusafirisha gesi kwenda Ulaya kupitia Syria, Asaad alikataa mradi huo husipitia mchini mwake maana alijua huo ulikuwa ni mpango mahususi wa Marekani na Qatar kutaka kujuhumu Warusi wasiuze gesi yao kwa wingi huko Ulaya, kinacho shangaza zaidi Wamarekani walitaka kusafirisha gesi kutoka kwao kwa Meli gesi inateremushwa Qatar na kusafirishwakwa bomba mpaka Ulaya, kama mpango huo ungefanikiwa Walaji/Wateja wange inunua kwa bei gani!! Yaani Amerika ilichochea uasi nchini Syria kwa maslahi yake including kutaka kuihujumu Urusi kibiashara/Uchumi.

Raia wa Syria hawakuwa na matatizo yoyote na Rais wao, ugomvi unao endelea hapo ni wa kuchonga tu, inavyo elekea sasa Amerika hipo determined kuigawa Syria na part ya Iraq kutengeneza nchi ya Wakurdi na kuweka mapuppet wa kulinda maslahi yao si ajabu sehemu hiyo ndiyo wanataka bomba la gesi lipitie kwenda Ulaya. Binafsi sioni kama Syria, Iraq, Urusi,Turkey na Iran watakubali upuuzi huo, Turkey kwa mfano haitaki kabisa uanzishwaji wa Nchi ya Wakurdi, kumbuka Wakurd wapo mpaka Iraq, Syria na Iran.

Binafsi ni kitu gani nakiona kinaweza kutokea ndani ya mwezi mmoja au miwili ijayo, Wamerika watawapa waasi makombora mazito yenye multiple roketis kushambulia jeshi la Syria wakiwa na Washauri kutoka Marekani na Israel, ndege za NATO tuseme Marekani zitaendlea kushambulia sehemu ya Syria ambayo wanadai wapiganaji wano ungwa mkono na wao wamejichimbia, sasa kuna mji muhimu kasikazini ambao unakaliwa na ISIS mjio huo unapaniwa na Waasi wa Syria wakisaidiwa na Amerika ili wauteke kwa mawazo yangu nadhani Amerika inataka Syria ikigawanyika basi mji huo ndio uwe makao makuu ya aidha wasi au Wakurdi - Jeshi la Serikali nalo limepania kukomboa mji huo na wako karibu lakini nasikia makombora na wakati mwingine ndege za Marekani na Israel utumika kujaribu kuzuia mji huo usikombolewa na Jeshi la Syria.

Katika sakata hili nina uhakika Urusi na Iran hazitakubali mji huo uwe chini ya mappuppet wa Marekani, binafsi nafikiri ugomvi wa kugombania mji huo ndiyo unaweza kufumua vita vikali sana na possibly WW3, siku za karibuni kwa mfano: Amerika imeonyesha imejiweka tayari kwa vita ndiyo maana unaona inadai kwamba sehemu fulani ndani ya aridhi ya Syria wanamgambo wanao muunga mkono Asaad pamoja na jeshi la Syria hawaruhusiwi kutia mguu, kumbuka hiyo ni aridhi ya Syria na wala Amerika haijapewa kibali na umoja wa Mataifa kuweke jeshi au zana za kivita sehemu hiyo na wala Serikali ya Syria haikuwaalika waje kumsaidia Asaad kupigana na ISIS, wamejiamria tu kutokana na jeuri zao na kiburi. Sakata la Syria naona Amerika inataka kufanya miscalculation na itakuja kuwa-cost Dearly wao wanataka kupigania maslahi lakini Syria, Urusi na Iran watapigana for survival, kama vita avitawafanya walazimike for nuclear exchange baina yao nawahakikishieni Wamerika na washiraka wao watanyukwa kweli kweli, Australia kwa mfano imekwisha nusa hatari hiyo ndiyo maana wameamua kuondoa ndege zao.
Asante sana, "Nabii", ngoja tuusubiri unabii tuone.
 
Ikiwa ni siku mbili baada ya ndege ya jeshi la anga la Syria kuangushwa na ndege ya Marekani
Mda mchache uliopita ndege nyingine ya Jeshi la Iran aina ya Shaheed-129 UAV imeangushwa na ndege ya Jeshi la marekani aina ya F-15 fighter kusini mwa syria...

Ndege ya jeshi la anga la Iran iliyoangushwa Shaheed-129 UAV
b790089687aac2e3c8e4d279095028e4.jpg

Ndege ya USA F-15 fighter iliyoangusha ndege ya Iran
0b341f02678e78ce95a8384d4ab40cc3.jpg

Taarifa kutoka Jeshi la anga la iran zimethibitisha kuwa ndege yao iliyokuwa inafanya Operations zake kusini mwa Syria Haijapatikana bado.
An Iranian-made drone was shot down by a US F-15 fighter jet in southern Syria, near At Tanf, the US-led coalition said. It is the fifth time in the past month the US has struck at forces allied with the Syrian government in the area.
An armed Shaheed-129 UAV “displayed hostile intent and advanced on Coalition forces” at 12:30 am local time on Tuesday, the coalition said in a statement. The drone was observed in the same area where another UAV was shot down on June 8.
View image on Twitter
Follow
Fergus Kelly @ferguskelly
.@CJTFOIR statement on the shooting down of an armed pro-regime drone in southern Syria
3:16 PM - 20 Jun 2017
14 14 Retweets
4 4 likes
Twitter Ads info and privacy
Tanf is the town on Syrian border with Jordan where US troops are training Syrian rebels, officially described as “partner ground forces.”
The coalition “does not seek to fight Syrian regime, Russian, or pro-regime forces partnered with them, but will not hesitate to defend Coalition or partner forces from any threat,” the statement said.
On Sunday, US aircraft shot down a Syrian government jet that was bombing Islamic State (IS, formerly ISIS/ISIL) positions south of Raqqa, in eastern Syria.
In response, Russia announced its air defenses would track all coalition targets west of the Euphrates, and suspend the “deconfliction” hotline. Moscow has accused the US of not using the hotline to prevent the Raqqa incident.
View image on Twitter
Follow
RT
[emoji818] @RT_com
Coalition’s airborne objects in Russian Air Force’s Syria missions areas to be tracked as targets – Moscow Russian military halts Syria sky incident prevention interactions with US as of June 19 – Moscow
8:27 PM - 19 Jun 2017
125 125 Retweets
138 138 likes
Twitter Ads info and privacy
While the US maintains the hotline is still operational, the coalition said it will “not allow pro-regime aircraft to threaten or approach in close proximity to Coalition and partnered forces.”
Hostility towards coalition and partner forces
“conducting legitimate counter-ISIS operations will not be tolerated,” the coalition said. There is no IS-controlled territory in contact with the US-backed forces at Tanf, however.
Reacting to Russia’s warning, the Royal Australian Air Force (RAAF) has suspended flights over Syria. US jets shoot down ‘Iranian drone’ in Syria - coalition

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom