Ndege ya habyarimana ilivyotunguliwa

geophysics

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
904
166
Nilivyoona picha ya ndege ya Habyarimana ilivyotunguliwa katika video hii hapa
YouTube - Video Analysis of Habyarimana Plane Crash

Nikajiuliza kweli ndege zetu ambazo hata wakati mwingine viti ni vibovu zina zana za kujikinga na Makombora ya kutungua ndege angani? Maana siku hizi siraha za kila aina zipo mitaani?

Nimepata bahati ya kumuuliza rafiki yangu anafanya kwenye ndege za nchi za nje akanihakikishia kwa wamarekani waingereza wanazo ndo maana ndege ikiisharuka angani kunakuwa salama kabisa kwa sababu ya JEYETE (system protects aircraft from infrared ("heat-seeking") missiles using an integrated suite of sensors and laser. The sensors detect any missile that is launched at the aircraft, and the laser is fired at the missile to disrupt its trajectory, causing it to fly harmlessly away from the aircraft)..
Kwetu sisi je ndege zetu ziko salama au ndo kama zile za akina Habyarimana?
 
inawezekana pia kuwa imetengenezwa tu kuwasafisha watuhumiwa au ikawa kweli, there is a lot of mixing information in it.
-ikiwa kweli missile came of the military camp used by presidential guard then it was an inside job
-was the RPF in Kigali (in the parliament building) before habyarimana's death or they entered (as an army) Kigali after the genocide?

that two as I said doesnot rule out that RPF could not have been involved, nothing is possible and everything is impossible.
 
Sasa ndege ya rais streemjet hata r.kelly anayo unadhani inweza kuwa navitu hivyo??ndege zenye vitu hivyo nikama ndege ya rais wa usa,uk,russia,china,s.korea,n.korea,islael uliona uganda ilivyopona na makombora!!,cuba,japan,ufaransa,ujerumani endeleza list.......
 
Back
Top Bottom