Ndege ya emirates yachelewa kufika

Ndege ya emirates yachelewa kufika

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,877
Ndugu habarini za saizi wale wenye ndugu wanaotarajia kufika na emirates leo wasishangae kutakuwa na chelewesho la kufika kwa ndege due to techn prbl,
be patiens thanx for understanding
 
Ndugu habarini za saizi wale wenye ndugu wanaotarajia kufika na emirates leo wasishangae kutakuwa na chelewesho la kufika kwa ndege due to techn prbl,
be patiens thanx for understanding

Nani katoa tangazo hili mkuu?
Reference please.
 
kaka unaitaji tangazo mbona ukiwauliza walikuwa wanajibu tusubiri imechelewa hapa............,infact imetua muda si mrefu ndugu
 
Tuombe Mungu, tatizo litatuliwe mapema ili isichelewe zaidi. Hayo ni mambo ya kawaida.
 
Back
Top Bottom