Ndege ya emirates yachelewa kufika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya emirates yachelewa kufika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 16, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Ndugu habarini za saizi wale wenye ndugu wanaotarajia kufika na emirates leo wasishangae kutakuwa na chelewesho la kufika kwa ndege due to techn prbl,
  be patiens thanx for understanding
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nani katoa tangazo hili mkuu?
  Reference please.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  kaka unaitaji tangazo mbona ukiwauliza walikuwa wanajibu tusubiri imechelewa hapa............,infact imetua muda si mrefu ndugu
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280

  tunavyochat iko airport kaka ..na kawaida nikuondoka saa kumi na moja..sijui bado apo utaitaji refer
   
 5. O

  OkSIR Senior Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimae inapanga mstari ready 4takeoff
   
 6. N

  Ngoshakugema New Member

  #6
  Oct 17, 2009
  Joined: Oct 17, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuombe Mungu, tatizo litatuliwe mapema ili isichelewe zaidi. Hayo ni mambo ya kawaida.
   
Loading...