major mkandala
Member
- Mar 6, 2010
- 74
- 2
kama kungekuwepo na hitillafu ningejua..lakini kama ilikuwapo ya kawaida imerekebishwa..
Kilichotokea siku hiyo ndege ilicheelewa kupona na muda wa kutua tabora saa tisa kutokana na kuingia giza mapema...jambo lililolazimishwa safari kukatizwa..
Hata hivyo alisema mzigo wa gharama a kuhifadhi mizigo na abiria zilikuwa juu ya atcl
tutakufa wote safari hii
tutakufa wote safari hii
Mungu ibariki Tanzania in GOLD we trust!
Mkubwa hapo umemaanisha au umekosea?nilikuwa nachekea kwa tumbo tu...
In GOLD we trust! Tunaamini vinavyong'aaa hata vibovu....unimsoma?