Ndege wazuri sana hawa!

Naona kasuku wanadendeka hapo hahahahahaaaa ni nzuri sana sana
be blessed
 
Ni kweli ni wazuri sana kwa kuwa wanaonyeshana ni kwa namna gani wanapenda na kujaliana.

Kwa bahati mbaya sisi wanadamu tumekuwa ni tofauti sana na hawa ndege na hata wanyama wengine, hii ni kutokana na namna tunavyoihsi cchini ya jua hili. Pamoja na kuwa tuna akili na werevu, lakini tumekuwa na hali ya u-mimi na hivyo kujenga chuki kwa wenzetu na hata kwa baadhi ya wanafamilia wetu. Tujiulize, je ni kweli tunatarajia Dunia kubadilika kwa hali hii, jibu ni hapana!

Kwanini? Kwa kuwa sisi wenyewe hajabadilika!

Katika hilo mpendwa, Inawezekana, TIMIZA WAJIBU WAKO!!
 
Hillary Mkony karibu sana Jamii Forum
 
Last edited by a moderator:
Hao ndege kwa kweli ni wazuri sana lakini pia wanaonyesha wazi wanapendana hasa kubusiana midomoni.:israel:
 
Ahsante sana na ninaomba kushirikiana nanyi ili tuweze kuibadilisha jamii yetu kwa kuitumia fursa hii ya kuwepo hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…