Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 264
Lucas acha huo mtazamo,Wahaya bana
Mkuu. Wewe sio muhaya kweli ?Lucas acha huo mtazamo,
Hapana mimi sio muhaya sina sababu ya kukuficha mm ni mgeni wa nchi ya gileadi. Nimejieleza mm ni mgeni wa haya mambo ya hewaniMkuu. Wewe sio muhaya kweli ?
Oh ngoja wakuu wajeHapana mimi sio muhaya sina sababu ya kukuficha mm ni mgeni wa nchi ya gileadi. Nimejieleza mm ni mgeni wa haya mambo ya hewani
Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika hili. Naomba msinifikirie vibaya ni mara yabgubya kwanza kutumia huu usafiri ndugu zangu na hakuna mjuzi wa yote isipokuwa Mungu.
Asanteni na karibuni sana
Haaaaahaaaa aiseeUkipanda mwewe air ways(MAW) ipo fresh ila ndo kila ikiona kifaranga chini itashuka.
Kasuku air lines(KAL) yenyewe makelele tu ndo yakufikia.
Labda upande dilimu laina lipo vizuri japokua la mtumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wahaya bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahaya bana