Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

Ndege zao nyingi hazifanyiwi services vya kutosha,

Wana ndege chache sana ukilinganisha na mashirika kama Emirates na wengine kama Qatar airways, lakin nao wanataka kushindana nao kwenye routes zao, ionekane nao wameteka anga, hivo ndege zao hazipati Muda wa kufanyiwa services vya kutosha, unakuta let say wana ndege 50 wanataka wapige routes 1000 kama wale wenye ndege 200

Pili wana overload ndege zao maana zimekuwa bila utaratibu wa kudhibiti mizigo kama wengine,

Britannica
Nimekusoma mkuu. Ila bei zao ziko fair sana na wengi wanazipenda ila ndo hivo
 
Mkuu mbona wana crashes chache sana?

Ndege zao nyingi hazifanyiwi services vya kutosha,

Wana ndege chache sana ukilinganisha na mashirika kama Emirates na wengine kama Qatar airways, lakin nao wanataka kushindana nao kwenye routes zao, ionekane nao wameteka anga, hivo ndege zao hazipati Muda wa kufanyiwa services vya kutosha, unakuta let say wana ndege 50 wanataka wapige routes 1000 kama wale wenye ndege 200

Pili wana overload ndege zao maana zimekuwa bila utaratibu wa kudhibiti mizigo kama wengine,

Britannica
 
View attachment 1042210
An Ethiopian Airlines passenger jet has crashed on a flight from Addis Ababa to Nairobi.

Prime Minister Abiy Ahmed tweeted his "deepest condolences to the families of those that have lost their loved ones".

Flight ET 302 crashed near the town of Bishoftu, 62 km southeast of Addis Ababa

View attachment 1042225
Hizi ndege toka zilipotoka niliziona ni tatizo zinapiga sarakasi kama Jet sasa zikipata marubani kama wa mabasi ya kisbo wakifika jirani na mtaa wa demu wake sifa zinaanzia hapo wengine tunafungua nyuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom