Ndege mpya ATCL kuanza kuruka Oct 15

Ndege mpya ATCL kuanza kuruka Oct 15

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
Shirika letu la Ndege ATCL limetangaza kuwa Ndege zetu mpya Bombardier Q400 kuanza kuruka rasmi tarehe 15 mwezi huu wa October 2016.

IMG_20161006_200030.png


airtanzania dash 8 300.jpg
 
ngojea nikae pembeni nione ligi ya Lumumba na Ufipa kweny huu uzi,narudi baadae kidogo
 
good news....zianze tu kufanya kazi maana hamna namna halafu hawa jamaa wa ATCL walishazoea kula mishahara ya bure
 
Go and return 360,000 -320,000 shirika litaendelea kupumulia mashine..
 
Anayeshabikia Chadema ya Lowasa na kuacha ccm ya Magufuli akapimwe akili.
 
Taarifa yako mkuu aijakamilka umesema zitanza safri ya mikoa ipi na ipi?
 
Wekeni route na nauli kulingana na route husika........
 
Back
Top Bottom