Ndege mpya aina ya Bombardier Dash 8 Q400 inatarajiwa kuwasili Nchini mwishoni mwa mwezi ujao

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Ndege nchini (ATCL), Josephat Kagirwa, alilieleza gazeti hili jana kuwa ingawa hawajapata tarehe rasmi ya kuwasili kwake, lakini haitazidi mwisho wa mwezi ujao.

Kagirwa alisema hivi sasa wanasubiri taarifa ya mwisho ya kuwasili kwa ndege hiyo itakayokuwa na uwezo wa kubeba abiria 78.

Hadi sasa Serikali ya Awamu ya Tano imenunua ndege mpya 11, nane zimewashawasili, moja ni hiyo inayotarajiwa Desemba, mbili zinaendelea kutengenezwa nje ya nchi.

Kagirwa alisema ndege mbili zilizobaki aina ya Airbus A220-300 zenye uwezo wa kubeba abiria 132 zitawasili mwakani ikiwemo moja inayotarajiwa kuwasili katikati ya mwaka na nyingine mwishoni mwa mwakani.

Miongoni mwa ndege mpya ambazo Serikali ya Awamu ya Tano ilizinunua na tayari zipo hapa nchini zikiendelea na safari mbalimbali za ndani na nje ya nchi ni pamoja na Boeing 787-8 Dreamline mbili, Airbus A220-300 mbili na Bombardier Dash 8 Q400 nne.

Katika kuhakikisha ATCL inazidi kuimarika kwa kuwa na ndege za kutosha, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 20

HabariLeo
Meko mtu wa ajabu zile zingine hazina kazi,hii anaenda kuipaki chamwino au burigi
 
Ushamba kitu kimoja kibaya sana, unanunua ndege halafu unafungia mabandani, hivi mfano hiyo hera yangeagizwa matrekta yakagaiwa kila kijiji si kungekuwa na tija
 
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Ndege nchini (ATCL), Josephat Kagirwa, alilieleza gazeti hili jana kuwa ingawa hawajapata tarehe rasmi ya kuwasili kwake, lakini haitazidi mwisho wa mwezi ujao.

Kagirwa alisema hivi sasa wanasubiri taarifa ya mwisho ya kuwasili kwa ndege hiyo itakayokuwa na uwezo wa kubeba abiria 78.

Hadi sasa Serikali ya Awamu ya Tano imenunua ndege mpya 11, nane zimewashawasili, moja ni hiyo inayotarajiwa Desemba, mbili zinaendelea kutengenezwa nje ya nchi.

Kagirwa alisema ndege mbili zilizobaki aina ya Airbus A220-300 zenye uwezo wa kubeba abiria 132 zitawasili mwakani ikiwemo moja inayotarajiwa kuwasili katikati ya mwaka na nyingine mwishoni mwa mwakani.

Miongoni mwa ndege mpya ambazo Serikali ya Awamu ya Tano ilizinunua na tayari zipo hapa nchini zikiendelea na safari mbalimbali za ndani na nje ya nchi ni pamoja na Boeing 787-8 Dreamline mbili, Airbus A220-300 mbili na Bombardier Dash 8 Q400 nne.

Katika kuhakikisha ATCL inazidi kuimarika kwa kuwa na ndege za kutosha, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 20

HabariLeo
Nakupa zawadi kila anayesoma uzi wako huu akutumie vocha kwenye simu yako. Ambaye hatatuma naomba unijulishe. Post zako nzuri sana nimezipeenda
 
Mpuuzi wewe, Ethiopia wana train ya umeme shirika kubwa la ndege lakini waethiopia kila siku wana kamatwa wakimkia nchi yao, kwanini wasibaki na heshima?
Ethiopia wanakimbia kwa sababu ya ukabila ulioletwa na serikali ya majimbo kama aliyokuwa anaitaka kamanda wenu Lissu, kwani na wewe umekimbia Tanzania ?
 
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Kampuni ya Ndege nchini (ATCL), Josephat Kagirwa, alilieleza gazeti hili jana kuwa ingawa hawajapata tarehe rasmi ya kuwasili kwake, lakini haitazidi mwisho wa mwezi ujao.
Yaani tumekuwa Wasukuma kwelikweli. Tunapenda kuona idadi kubwa ya ng'ombe zizini lakini tunaishi maisha ya kimasikini hatutumii utajiri wa ng'ombe wetu, furaha yetu ni kuona tuna ng'ombe wengi na kujisifia kwa hilo, basi.
 
Kudadeki, kama umeme umefika kila kijiji lazima ndege zifike kila kijiji maana watu wa mjini mmezoea kututambia sana..
 
Itakua inasubiri sherehe za mwaka mpya ziishe ili ianze safari.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom