fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Hakna namna marekani apigwe tu, kiherehere chake cha kuingilia mambo ya ndani sasa urusi yuko puani na mdomo hapo kwa maduro, USA wamezoea kuanzisha vita mbali na nchi yao ili wahanga wawe wengine wao na wananchi wao wakipeta, wacha tuone vita ikipiganwa pua na mdomo, makombora yadondoke USA pia wajue uonevu haufai.
Na USA alivyo muoga vita ndani ya USA lazima ataufyata mapema sana hongera URUSI
Na USA alivyo muoga vita ndani ya USA lazima ataufyata mapema sana hongera URUSI
Nchi inashida ya misaada ya jamii ila wanapelekewa tani 35 za silaha na vifaa vyà kijeshi