lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,467
- 9,053
Tulia mkuu, zitakuja tu. Zinafanyiwa utaratibu wa kupakiwa kwenye meli, si unajua haya mambo yanataka muda!Tunataka ndege zetu walizotuahidi.. Au pesa wamekula??
Tulia mkuu, zitakuja tu. Zinafanyiwa utaratibu wa kupakiwa kwenye meli, si unajua haya mambo yanataka muda!Tunataka ndege zetu walizotuahidi.. Au pesa wamekula??
Tunaaataka ndege zetu,Tunataka ndege zetu walizotuahidi.. Au pesa wamekula??
Keshalizwa mtu hapo....!!!Tunataka ndege zetu walizotuahidi.. Au pesa wamekula??
Kama unataka kujua kiasi gani you are a moron, hesabu posts ambazo umeandika mpaka sasa kujibu uzi wako mwenyeweHabari wanabodi...
Mnamo tarehe 30.3.2016 Waziri Mbarawa aliwaambia wadau kwamba serikali imekubaliana na Shirika la kutengeneza ndege la Canada na ndege hizo zingeingia nchini ndani ya siku 60 kutoka tarehe 1.4.2016.
Cha kushangaza ni kwamba jana nimesoma habari wanasema wamekubaliana na shirika la Urusi na ndege zitanunuliwa kutoka Urusi na zitaingia nchini mwishoni mwa mwaka huu.
Je hapa tunachezewa akili au tunadanganywa kama watoto?? Ni kweli wanataka kulifufua shirika au wanasema kufurahisha watanzania tu??
Mh. Rais alisema ATCL kuna majipu, sasa je kama kweli wanataka kuleta ndege mbona hayo majipu hayajaondolewa ili shirika libaki na watu safi??
Nilikuwa na imani sana na hii serikali lakini kwa kauli hizi za uongo uongo nimeanza kupoteza imani yangu kwao.
Kama unataka kujua kiasi gani you are a moron, hesabu posts ambazo umeandika mpaka sasa kujibu uzi wako mwenyewe
Hizo ndege zinunuliwe kwa bajeti ipi sasa kwa hizo siku 60 munazosema wakati bajeti ya Magufuli ndiyo inajadiliwa bungeni, hamjajifunza tu kuzielewa lugha za wanasiasa, waziri alikuwa anamaanisha mipango inayopangwa na serikali ya sasa.