NDEGE inayobeba Treni

Niliona moja Mwanza ilikuja imebeba chakula cha wakimbizi 1994!Niliona Scania na tela yake imeingia naikageuka nilishika mdomo kwakuwa mwaka huo ilikuwa mara yakwanza kuona ndege kubwa kama hiyo!
 
Niliona moja Mwanza ilikuja imebeba chakula cha wakimbizi 1994!Niliona Scania na tela yake imeingia naikageuka nilishika mdomo kwakuwa mwaka huo ilikuwa mara yakwanza kuona ndege kubwa kama hiyo!

Acha uongo wewe!!!
 
Acha uongo wewe!!!
inawezekana,kwani tanzania tunazo nne,moja ziwa victoria ipo base ya mwanza,nyingine ziwa nyasa ndio maana wamalawi waligwaya wakakurupuka kwenda kununua boti nne zilizomkaanga Banda kwenye uchaguz wa urais. nyingine ziwa Danganyika na bahari ya hindi,hii inawatisha AL SHABAAB pia.tupo imara kwel kwel.yaan namaanisha aircraft carier,hapo nili overlook
 

Ziwa danganyika ndo ziwa gani hilo??


Alafu mbona ulivyoelezea cjaelewa mie nasemea ndege af ww unasema mambo mengne mbona unapenda ujinga ww??
 

Wabongo kwa kujipa ujiko, hata toroli la kubeba taka tunasubiri mpaka wajapani watoe msaada mtaweza kununua vitu kama hivyo. Kwa maisha ya Tanzania hata ambulance watu wanaiona anasa, acha masihara wewe.
 
Nadhani hadi sasa aircraft carrier kubwa kuliko zote ni ile ya USA, George Washington
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…