mwambie ,wamezoea kukaririshwa mambo.me kwetu tumekaririswa kuwa aircraft carrier ni lile dude kubwa linalopita juu ya maji kama meli vile eti?likitumika kubeba wanamaji,na vifaa vya kivita,kama vile vifaru,magari ya deraya ,midege kibao ya kivita likiwa na eneo maalumu ya kurukia na kutua kwa midege hiyo sijui ndio manowari kwa lugha yetu,military aircraft carier.