ni kweli ni filamu hiyo Mr Scaramanga, bado naikmbuka, asante kwa link. PAMOJA kwamba Filamu nyingi za Bond 007 ZIMEJAA technologia za kufikirika naamini kuna kitu wanakifikiria katika ulimwengu halisi, sasa fikiri juu ya filamu hiyo ya 1974, director aliwaza nini, hawa watu wanafikiri sana.