FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 Dec 23, 2016 #41 CHIKIRA MTABARI said: sauti yake Click to expand... Unanikumbusha kisa cha Abunuasi na punda wake.
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Dec 27, 2016 Thread starter #42 pro wa sambuo said: Bundi akilia huwa ndo style yao ya kuitana! Wakati huo jike anakuwa,kwenye joto..Hivyo mkuu usiogope kelele zake hazina utofauti na za jogoo! Click to expand... Ahsante sana pro wa sambuo
pro wa sambuo said: Bundi akilia huwa ndo style yao ya kuitana! Wakati huo jike anakuwa,kwenye joto..Hivyo mkuu usiogope kelele zake hazina utofauti na za jogoo! Click to expand... Ahsante sana pro wa sambuo
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 Dec 27, 2016 #43 Punguza woga mamiiiii. Ila kuna kipindi ikitokea hali kama hizo, chukua chumvi choma. Watasepa kama ni wa kutumwa
Punguza woga mamiiiii. Ila kuna kipindi ikitokea hali kama hizo, chukua chumvi choma. Watasepa kama ni wa kutumwa
kenstar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,276 Reaction score 1,447 Dec 27, 2016 #44 Mkiogopa kulia Kwa ndege Mbona mtakuwa mnaishi maisha magumu sana
S shiiiii Senior Member Joined Nov 26, 2016 Posts 124 Reaction score 59 Dec 27, 2016 #45 Bundi ni ndege tu, wala hajui nyunba yako yeye alijua ni juu ya mti, nenda kwa fundi zikutoke gharama
Bundi ni ndege tu, wala hajui nyunba yako yeye alijua ni juu ya mti, nenda kwa fundi zikutoke gharama
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Jan 3, 2017 Thread starter #46 shiiiii said: Bundi ni ndege tu, wala hajui nyunba yako yeye alijua ni juu ya mti, nenda kwa fundi zikutoke gharama Click to expand... Ahsante kwa ushauri wako
shiiiii said: Bundi ni ndege tu, wala hajui nyunba yako yeye alijua ni juu ya mti, nenda kwa fundi zikutoke gharama Click to expand... Ahsante kwa ushauri wako