Ndege Bundi

hahahahaha, kwa mjini sijui, lakini sie vijijini ndio tulikuwa tunafanya hivyo na kama bundi aliyetumwa harudi tena, kama ni ndege wa kawaida atarudi, ila hawa wadudu kumkuta ambae hana mahusiano na binadamu ni nadra sana
Au labda ni mchawi! maana kuna kabibi tunasali nako Jumuiya (mie ni katoliki) eti siku hiyo kakaniomba niwe rafiki yake, nasikia kanakuja hapo home nikiwa kazini kananiulizia eti wakimwambia sipo anawaachia ujumbe kuwa mwambieni ni "shoga yake" naitwa Ng'wanaIgongola. hahahahah. kuna majirani wananionya kuwa huyo bibi si mtu mzuri asinizoee, but mie nawajibu kuwa ni tatizo la huku kanda ya ziwa kila bibi au babu anaitwa mchawi😀😀
 
Ungetoka tu nje umshtue angeondoka. Unamlaumu bure wakati yeye hakujua kama kuna mtu ndani
wewweweeee aretasludovick, siwezi kuthubutu kutoka nje usiku, uwiiiiii, nikakutana na wazee washika chuma si itakuwa kama vile nimewafungulia mlango mie mwenyewe! kutoka nje usiku inatisha sana
 
wewweweeee aretasludovick, siwezi kuthubutu kutoka nje usiku, uwiiiiii, nikakutana na wazee washika chuma si itakuwa kama vile nimewafungulia mlango mie mwenyewe! kutoka nje usiku inatisha sana
Uogope kutoka nje ya nyumba yako kweli? Aisee wewe inaonekana ni muoga sana

Mimi iwe kijijini kwenye maporipori huko au mjini, muda wowote natoka nje nikihitaji
 
Uogope kutoka nje ya nyumba yako kweli? Aisee wewe inaonekana ni muoga sana

Mimi iwe kijijini kwenye maporipori huko au mjini, muda wowote natoka nje nikihitaji
Hata mie nikiwa kijijini kwetu ninatoka hata saa za usiku sana! Kule kijijini kuna wanyama ambao madhara yao sio makubwa sana tofauti na huku mjini mnyama binadamu ni tishio bora ukutane na mbwa mwitu kuliko mnyama binadamu!
 
wewe utakuwa ni tajiri wewe!
Nitakutafuta
 
Ulijuaje kama ni bundi na wewe hukutoka kutazama?
 
Bundi akilia huwa ndo style yao ya kuitana! Wakati huo jike anakuwa,kwenye joto..Hivyo mkuu usiogope kelele zake hazina utofauti na za jogoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…