Alikuwa anakuamsha muda wa mambo yetu.umeshafikaHabari wanaJF
Mwenzenu mie, usiku wa leo kuanzia saa nane hadi saa kumi alfajiri kuna bundi alikuwa juu ya paa la nyumba yangu, anaimba kwa sauti yake, halafu mfululizo hampumziki ilikuwa kero japo nimefunga madirisha, giputhamu, lakini bado kelele ilikuwa inasikika hadi ikawa kero kwangu!
sikuthubutu kutoka! halafu hata hivyo nahisi alikuwa kileleni kabisa kwenye paa! sasa si unajua tena usiku unatisha siwezi kutoka nje. hahahahaah. Kuhusu kulogwa mie sijui kama ndio nimelogwa au bundi alikuwa kajisikia tu kutua kwenye nyumba yangu!Hahahah wa mikoani mna visa.Usije kutuambia eti umelogwa na huyo ndege.
Sipati jinsi ulivyokuwa unatetemeka.Si ungetoka umtimue!
heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😉😉😉Alikuwa anakuamsha muda wa mambo yetu.umeshafikaau haulali na shemeji?
Alikuwa anakuamsha muda wa mambo yetu.umeshafikaau haulali na shemeji?
ungetoka kama una kijinga cha moto ukamrushia asingerudi tena, nilikuwa naona sana nilipokuwa ninaishi vijijini, sasa mabundi wako aina nyingi, sijui bundi gani, manake kuna vile vidogo hivyo visumbufu sana na kelele yake inaumiza, yale makubwa yana sauti ya mshindo na besi besi hivisikuthubutu kutoka! halafu hata hivyo nahisi alikuwa kileleni kabisa kwenye paa! sasa si unajua tena usiku unatisha siwezi kutoka nje. hahahahaah. Kuhusu kulogwa mie sijui kama ndio nimelogwa au bundi alikuwa kajisikia tu kutua kwenye nyumba yangu!
mmmmh! sasa kijinga cha moto nitakipata wapi mpendwa wangu Akajasembamba, huku mjini hatuna majiko ya kuni!ungetoka kama una kijinga cha moto ukamrushia asingerudi tena, nilikuwa naona sana nilipokuwa ninaishi vijijini, sasa mabundi wako aina nyingi, sijui bundi gani, manake kuna vile vidogo hivyo visumbufu sana na kelele yake inaumiza, yale makubwa yana sauti ya mshindo na besi besi hivi
Mwanza hakuna kunguru saaana kama huko PwaniMkuu na kunguru wakilia huwa unaogopa namna hiyo?
hahaha akuye (kwa sauti ya Wazaire) fasta! hahahahaahhMshana Jr njoo uku
unapenda rangi, face, au kelele zake au ni kitoweo?!😉Bundi nampenda sana
hahahahaha, kwa mjini sijui, lakini sie vijijini ndio tulikuwa tunafanya hivyo na kama bundi aliyetumwa harudi tena, kama ni ndege wa kawaida atarudi, ila hawa wadudu kumkuta ambae hana mahusiano na binadamu ni nadra sanammmmh! sasa kijinga cha moto nitakipata wapi mpendwa wangu Akajasembamba, huku mjini hatuna majiko ya kuni!
Sura yake tu mkuu. Muda sii muda nitamfugaunapenda rangi, face, au kelele zake au ni kitoweo?!😉
Na huku kwetu Mwanza wanapenda sana kushiriki huo utamaduni wa kufanya mambo yasiyompenda Mungu na wanadamu! Sasa nifanyeje mieee, uwiiiiiiiiiii, au ndio maana leo najisikia kuchoka choka, halafu hata MB zangu zinaisha haraka sijui ndio uchawi wenyewe huo , mmmmmmmh!hahahahaha, kwa mjini sijui, lakini sie vijijini ndio tulikuwa tunafanya hivyo na kama bundi aliyetumwa harudi tena, kama ni ndege wa kawaida atarudi, ila hawa wadudu kumkuta ambae hana mahusiano na binadamu ni nadra sana
hhaahahah ule uso wa duara duara hahahaahahah, uwiii mbavu zangu mie weee aretasludovickSura yake tu mkuu. Muda sii muda nitamfuga