Ni jeshi la USA + NATO + UE wala si jeshi la UKRAINE Vs Jeshi la Mtu mmoja "PUT IN/RUSSIA".View attachment 2406532
Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk .
Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
Kati ya ngapi isijekuwa Kati ya 100View attachment 2406532
Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk .
Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
mnaanza jikuna bila kuwashwa , mara NATO waingilie kumpiga urusi leo mara ni NATO na EU sio jeshi la UkraineNi jeshi la USA + NATO + UE wala si jeshi la UKRAINE Vs Jeshi la Mtu mmoja "PUT IN/RUSSIA".
ndege mia kweny SMO sio ? na kwenye vita kamili mtapeleka ndege ngapKati ya ngapi isijekuwa Kati ya 100
Mkuu, upo kijiji gani hadi wakosa updates sahihi?Masikini Sikirimimimasikini
Buku saba mkuundege mia kweny SMO sio ? na kwenye vita kamili mtapeleka ndege ngap
Habari kutoka Ukraine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2406532
Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk .
Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
Subir ya kutoka urusi watakuja kukueleza kama ndege zao zimedunguliwa.Habari kutoka Ukraine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kurusha ndege nane alikuwa sahihi kabisa. Huwezi peleka ndege 50 kizembe. Pengine hizo chache ndo ilikuwa kupima uwezo wa defence ya Ukraine.Kwa akili tu za kawaida Russia haiwez kurusha hizo ndege nane tu
Sasa kama zimerushwa zaidi ya nane zingine zipo wapi hii habari haijakamilika.
BBC walivyoripot vyanzo vya nishati Ukraine kulipuliwa walikuwa ni waongo? Wakiripor negative kuhusu Ukraine wanakuwa wapo sahihi ila kwa Urusi inakuwa propaganda?Una quote BBC kabisa? Western source?
BBC ina historia ya kuwa biased, kama ni mfuatiliaji kuna mtangazaji wa BBC alikatazwaga kuripoti habari za sex abuse zilizokuwa zinamkabili tajiri fulani.BBC walivyoripot vyanzo vya nishati Ukraine kulipuliwa walikuwa ni waongo? Wakiripor negative kuhusu Ukraine wanakuwa wapo sahihi ila kwa Urusi inakuwa propaganda?