Ndugu watanzania kama muliangalia taarifa ya habari ya ch 10 ikionyesha prof muhongo akiongea na uongozi wa dangote mtwara.katika kikao hicho dangote amefanyiwa ukiritiba na ndc na tpdc baada ya kuwpandishia gharama kubwa za kupata nishati ya gas.
kutokana na hizo buecras kiwanda cha ndagote kitashindwa kuzalisha tani millioni tatu za cement kwa mwaka na kinafikilia kutumia diesel kuzalisha umeme na cement hivyo kuondoa mipango yakuweza kuwauzia watanzania cement kwa sh 5000-8000 kwa mfuko.
Napendekeza viongozi wa ndc,tanesco na tpdc wajitokeze na kuuleza umma wa watanzania ni kwanini mashirika yao yanashindwa kuwa sehemu ya kupromote uwekezani na badala yake yanakuwa makampuni yanayochangia kufrastrate uwekezaji nchi.
Watanzania pia naomba wote tukemee viongozi hawa wa haya mashirika wanaojifikilia wao badala ya kufikilia faida zinazopatikana kufuatia uwekezaji mkubwa.
Ninawalaani sana viongozi wa tanesco,ndc natpdc kwa kutokuwa wazaelendo na badala yake wamekuwa maagent wakukwamisha uwekezaji tanzania