GENE THERAPY
Member
- Oct 29, 2013
- 52
- 102
Wakuu, mradi wa biolarvicides plant tuliousubiri takriban miaka miwili sasa tangu tufanye interw, taarifa zilizopo ni kwamba wameajiri kwanza mafundi. naomba kama kuna mdau miongoni mwa wanaofunga mitambo atusaidie walipofikia, kama wamemaliza kufunga au bado.
na kama kuna tetesi juu ya wengine wataanza kuajiriwa lini au kazi itaanza lini mtujulishe.
Natanguliza shukrani zangu nikiamini kuwa nitapaja majibu.
nawasilisha.
na kama kuna tetesi juu ya wengine wataanza kuajiriwa lini au kazi itaanza lini mtujulishe.
Natanguliza shukrani zangu nikiamini kuwa nitapaja majibu.
nawasilisha.