Ndani ya vibanda umiza; Nimeamini soka ni biashara

jmapunda

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
731
2,922
Nipo maeneo ya uswazi ndani ya banda flani hivi tukisubiri kuangalia Manchester derby.Watu wamejaa kibao.Huku ukumbi mzima ni sare za jezi za timu hizi zinazoonekana.Watu wametoa kiingilio kwa roho safi tu.Laiti ingetokea ligi yetu iwe na mvuto angalau tufuatiliwa na nchi za Afrika tu ingekuwa poa sana.Wewe unaonaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom