Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 5,918
- 7,618
Mama fulani alikuwa na kijana wake wa miaka saba (7) ndani ya tax,wakati tax ikitembea maeneo ya stendi kijana aliona akinadada warembo wawili wamesimama pembeni,kijana aka muuliza mama yake wale akinadada wanafanyañini pale?
Mama akajibu wanawasubiri wanaume zao watoke kazini..
Dereva tax akageuza kichwa akamwambia yule mama kwamba amwambie tu ukweli kuwa wale akinadada ni machangudoa....
Kijana akadakia akamwambia mama sasa watoto wao wakiwa wakubwa wanafanya kazi gani?
Mama kwa hasira huku akimtazama yule dereva akasema huwa wanakuwa madereva tax!!
Guess what happened!!!
Weka yako na wewe mdau....