Hahahahahaaa hapo chachaaaHapana jamani huyu ni mdada hata uandishi wake ni wa kike, lol!
Kaka sasa angekuwa binti kumwambia aend sauti tungechemka ila wewe nenda na ukitaka kampany nikupe shemeji yako akupe
Hapana jamani huyu ni mdada hata uandishi wake ni wa kike, lol!
Nenda malaika beach resort na Tilapia Hotel ndio the best places ambazo mimi naona nzuri
hee kumbe na wewe mwenyeji?
Yeah! Nimekaa huko mwaka mzima. Na huwa naenda huko kuponda raha mara kwa mara. So napafahamu vizuri. Tilapia ni moja wapo ya Hotel ambazo huwa napenda kula. Nyingine Ni La Kairo na Ryan's Bay Hotel ambayo ipo karibu na Tilapia Hotel
kampani na shemeji tena?usije kujilaumu lakini
Big up sana...next time jaribu G&G au Sparow au pentagon au vizano...ziko poa piaYeah! Nimekaa huko mwaka mzima. Na huwa naenda huko kuponda raha mara kwa mara. So napafahamu vizuri. Tilapia ni moja wapo ya Hotel ambazo huwa napenda kula. Nyingine Ni La Kairo na Ryan's Bay Hotel ambayo ipo karibu na Tilapia Hotel
Teh sitajilaumu....we si unajua mambo ya backup...system original iko huku...
Pale highest ni 45k per night na unapata breakfast nzuri asubuhi....reasonable price kabisa vinywaji na chakuka....wanatengeneza kuku nzuri sana...
Hama uko mbana imeshachoka hotel hiyo na iko mbali na matukio sogea mjini hapo kati Kembice G&G and G&J Zote za ukweli...unatembea hata kwa kiwanja chochote.....Mwanza mjini hakuna vibaka .....ila usipite maeneo ya kuanzia mwanza hotel kwenda salma cone kwenye ule uchochoro sipaamini sana japo sijakabwa....
Viwanja vyote viko kati hapo...Stone mpya Opposite na TRA ya zamani....Rock Bottom ni PPF plaza hapo yaani 70m toka Stone...
Villa ndio iko Kirumba uko uliko.
Standard na mziki wa kistaarabu enda viwanja tanjwa hapo juu....Kuna mwanza hotel mziki wa zamani kila jumamosi..pata pale...
wataka vyakula vya kihidi ? Oposite na NMB kenyatta kuna mgahawa wana kuku wenye pili pili nyingi na vyakua vya kihindi!!
Wataka mishikaki? Kirumba kuna mushi...ila salma Cone kuna Kinye ana mishikaki ya ukweli...Chakula cha kawaida kabisa kama uko home...nenda villa city hapo hapo the stone ilipo ila ni mgahawa uko kwa juu...hata wali maharange unapata kwa bei pouwa...
Bank isiyo na foleni au ATM...za CRDB nenda NSSF Building,Stanbic iko moja so sio foleni sana, DTB nayo ni moja, NMB ooh Lord hakuna unafuu mpaka usiku kama ni ATM.
What else?
Kb...
Kumbe bado unakula bata Rock City....?
Big up sana...next time jaribu G&G au Sparow au pentagon au vizano...ziko poa pia
yap,niko bado huku!nasubiri starter ya mishkaki hapa sparrow then niende villa nikale samaki wa kuchoma
Nimeshwahi kula sparow Hotel na vyakula vyao ni vizuri ila tatizo wahudumu wao wanavaa nguo za kutega sana
loh... Utapendezajee?
Ulicheki weight kabla ya kutua Rock City? Kesho cheki..
ni kweli chakula kizuri,nimekula jana na nguo zao wamesharefusha na hawategi tena
Basi siku nikienda mwanza tena nitakuwa naenda kula hapo
unaogopa kutegwa?