Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Tembelea Malaika beach resort.
Na mimi nipo Mwanza! Nipo Lakairo but kwa sasa nipoa hapa Villa Park resort! KaribuSitaki kuamini hakuna wanajf huku.
noted!thanx much mkuu, wewe ni mwenyeji ama?
Tembelea villa.
Na mimi nipo Mwanza! Nipo Lakairo but kwa sasa nipoa hapa Villa Park resort! Karibu
Mimi ni mwenyeji haswaa!
Na mimi nipo Mwanza! Nipo Lakairo but kwa sasa nipoa hapa Villa Park resort! Karibu
ahsante mamie,na wewe upo huku?
Hahahah...lol!yaani we mchizi tokea tar 5-2 upo huku, vipi wenzako walikusahau?
sasa wewe ndo wakunitembeza tembeza nishangae jiji
yeaah, unapenda cone kesho nikupeleke salma cone?
Hahahah...lol!
Nilikuwa kabla ya hiyo tarehe na bado nipo mkuu..naandaa mazingira mazuri ya 2015!
yaani usiwe na wasi kote utafahamu hadi Bujora tutafika.
basi vizuriii,ntafurahi sana
Mimi ni mwenyeji haswaa!
Unachafua thread yako..watu wa mwanza hawatumii hiyo kitu!na kwenye mbuzi katoliki pazuri,nataka fika