Wanajamvi,
msinielewe vibaya bali nataka kushare nanyi kile kinachoendelea katika Bunge (wanasemaga sijui la ngapi vile?) Vs Posho za kila siku, salary 10m, pension isiyo elezeka, mafao yasiyoguswa na NSSF/PPF ...na mengine mengi.
Je, hii yeweza kuwa inasababishwa na kutokuwa na mipangilio inayoeleweka pamoja na udikiteta uliokithiri wa bunge la safari hii!?
Huyo mbunge alichaguliwa tu kwa hasira za wananchi kuchakachuliwa mgombea wao waliyemtaka ccm katika kura za maoni,kwa kpindi kile hata angegombea bibi kizee wangempa.credibility ya mbunge huyu ni very questionable.
Si haba jamaa kasimamisha nyumba fasta mjini.yatosha
If you rushed to a meeting would you have a settled mind, if you realised you had stained your tie?
I guess not, you would do what every resonable man, would do;change the tie. However, what is important to note here is, where would that tie be changed?
PS- Let us not forget the word "rush".