Nimevutiwa na muhandisi wa hizo barabara!
Flyover hizo bila shaka
Hizi highways zinafaa maeneo ya tandale, kwa alimaua, mikocheni, masaki na kwengineko, katika jiji la dar.Nimevutiwa na muhandisi wa hizo barabara!
kwani lazima Uishi Mjini kwenye Maji Machafu na Mbu. Mapori yako kibao ya kusihi kuloko sehembu mbovu kama hiyo.
Tena hazihitaji bomoabomoa wala fidia!Hizi highways zinafaa maeneo ya tandale, kwa alimaua, mikocheni, masaki na kwengineko, katika jiji la dar.
Kwani lazima Uishi Mjini kwenye Maji Machafu na Mbu?. Mapori yako kibao ya kuishi kuliko sehemu mbovu kama hiyo.