Ndani ya Gym

Mkiwa mnapiga wote tizi, lazima kila cku uwe nyuma yake..............
 
Gym na koko??uliona wapi huyo yupo katika promotation yupo kazini!
 
hilo ni zoezi la kuongeza masaburi kama kuna mtu anahitaji anaweza kufanya..
 
kaaaazi kweli kweli, sasa huyu mpiga picha kwanini hakutafuta style nyingine ya kumpiga picha huyu mwana mazoezi? haya
 
Never give up kweli walikuwa wanatengeza tangazo la biashara, otherwise anajitangaza yeye huenda yuko kwenye mawindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…