wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
Hi,mheshimiwa sana ACCOUNT FULL,mimi ni mdau wa usafiri wa anga hapa julius nyerere international airport(lakini sio mfanyakazi wa fast jet),naweza kukujibu kuwa
1.with fast jet,unalipia tu kile unachotumia.nauli unayolipia inakupa siti kwenye ndege pamoja na mzigo wako wa mkononi tu.
2.kama una mzigo wa kuufanyia check in(kupeleka kwenye buti)kuanzia kilo moja hadi ishirini utalipia tsh 8000 tu au dollar 5 za kimarekani.kwa kila kilo inayozidi italipiwa tsh 8000 pia.mfano una mzigo wa kilo 23,kilo 20 za kwanza utalipia 8000 tu na hizo tatu zilizozidi utazilipia tsh 24000,yaan kwa kila kilo elfu nane.
3.fast jet wanachojari wao ni safari tu,mengineyo ni kama anasa.ukitaka vinywaji au chakula utanunua kwa hela yako mfukoni,sio kama ndege zingine wanafanya kama biashara sasa,unakuta unalipia chakula karibu elfu 30000 halafu unachopewa ni viskonzi viwili,chai na kajuice au ka bia kamoja afu ndo nitolee hiyo.(wakati wa kukata ticket huwez jua kama unakata na chakula.hebu jiulize umbali wa saa moja dk 16( hapa na mwanza unataka kula nini?).so kwa ujumla kwa fast jet mengineyo ni kam anasa tu.
4.hiyo walionayo siyo bei ya promosheni kama watu wanavyodhani,hiyo ndiyo bei halisi.nauli ni 32,000/= ,airport tax ni 10000/= na vat ni 1000/=.so,nauli kamili ni 43,000/=dar-mwanza,dar-kilimanjaro and the reverse is true.
NB:IKUMBUKWE KUWA UNAVYOKATA TIKETI MAPEMA KABLA YA SAFARI NDIVYO UTAKAVYOPATA TICKET YA BEI NAFUU.MFANO,NDEGE ZAO ZINABEBA WATU 156,SASA UNAKUTA KWA KILA MRUKO(FLIGHT) KUNA NAFASI 30 ZA BEI YA 32000/=,INAMAANA ZIKISHA JAA HIZO HUTAWEZA KUPATA TICKET KWA BEI HIYO,UTAPATA KWA BEI YA JUU.nadhani nimeelezea vya kutosha labda kama kuna swali mkuu
kila la kheri kaka, kwa safari ya saa moja sio lazima kunywa soda au maji ndani
unaweza kula kabla hujasafiri au ukishafika mwanza ukanywa supu sato kabisa.
watakujuza waliopanda fastjet
Habari, wana jamvi naomba kufahmishwa kwa wale ambao wameshawahi kuipanda hiyo ndege.Kwan kuna jamaa yangu kaja jana kutoka mwanza na hyo ndege,kaniambia kuwa vitu kama vinywaji na vitafunwa unanunua kwa cash, sasa naomba uhakika wa hilo ili nitakapoanza kuzimeki ili na mm nipande ndege kwa mara ya kwanza niweke na ka akiba ka vinywaji,namaanisha kwa nauli ya tsh 32 elfu ya bila vat,nasubiri majibu yenu ili nikaweke booking ya kuondoka mwezi wa 6 kuelekea mwanza,mwisho asanten fastjet kwa kufanya ndoto zetu za kupanda ndege kuwa kweli,naomba mungu aniwezeshe nifke huo mwezi wa sitaa
Nackia watu nitawaona kama sisimizi,ni kweli?
kama yule Denis Berkamp aliyekuwa anachezea Arsenal, jamaa alikuwa hapandi ndege kabisa na kama timu yake ya arsenal ilikuwa inakwenda mbali ambapo usafiri ni ndege tu alikuwa haendi yeye ni mabasi na treni . jamaa alikuwa changamoto sana kwenye timu yakeNi kweli mkuu...ila kuna watu tuna uwoga wa kupaa tuu..hata kama ni salama....
hizo bei za juu baada ya hizo nafasi 30 kuisha ni sh ngapi?Hi,mheshimiwa sana ACCOUNT FULL,mimi ni mdau wa usafiri wa anga hapa julius nyerere international airport(lakini sio mfanyakazi wa fast jet),naweza kukujibu kuwa
1.with fast jet,unalipia tu kile unachotumia.nauli unayolipia inakupa siti kwenye ndege pamoja na mzigo wako wa mkononi tu.
2.kama una mzigo wa kuufanyia check in(kupeleka kwenye buti)kuanzia kilo moja hadi ishirini utalipia tsh 8000 tu au dollar 5 za kimarekani.kwa kila kilo inayozidi italipiwa tsh 8000 pia.mfano una mzigo wa kilo 23,kilo 20 za kwanza utalipia 8000 tu na hizo tatu zilizozidi utazilipia tsh 24000,yaan kwa kila kilo elfu nane.
3.fast jet wanachojari wao ni safari tu,mengineyo ni kama anasa.ukitaka vinywaji au chakula utanunua kwa hela yako mfukoni,sio kama ndege zingine wanafanya kama biashara sasa,unakuta unalipia chakula karibu elfu 30000 halafu unachopewa ni viskonzi viwili,chai na kajuice au ka bia kamoja afu ndo nitolee hiyo.(wakati wa kukata ticket huwez jua kama unakata na chakula.hebu jiulize umbali wa saa moja dk 16( hapa na mwanza unataka kula nini?).so kwa ujumla kwa fast jet mengineyo ni kam anasa tu.
4.hiyo walionayo siyo bei ya promosheni kama watu wanavyodhani,hiyo ndiyo bei halisi.nauli ni 32,000/= ,airport tax ni 10000/= na vat ni 1000/=.so,nauli kamili ni 43,000/=dar-mwanza,dar-kilimanjaro and the reverse is true.
NB:IKUMBUKWE KUWA UNAVYOKATA TIKETI MAPEMA KABLA YA SAFARI NDIVYO UTAKAVYOPATA TICKET YA BEI NAFUU.MFANO,NDEGE ZAO ZINABEBA WATU 156,SASA UNAKUTA KWA KILA MRUKO(FLIGHT) KUNA NAFASI 30 ZA BEI YA 32000/=,INAMAANA ZIKISHA JAA HIZO HUTAWEZA KUPATA TICKET KWA BEI HIYO,UTAPATA KWA BEI YA JUU.nadhani nimeelezea vya kutosha labda kama kuna swali mkuu
ACCOUNT FULL usihofu ukitenga TZS 7,000 zinakutosha sana kwani vinywaji vingi - Chai, Juice, Beer vinaanzia TShs. 3,500. Usafiri wa ndege ni zaidi ya lisaa kwani check in in dakika 40 mpaka masaa mawili na ndani ya Airport bei za vitu hazina tofauti na bei za ndani ya ndege hivyo ushauri kwamba ule na kunywa kabla ya kuingia kwenye ndege "does not work". Uzoefu wa KIA - DAR mfano ukifanya booking say siku tani kabla ya safari unaweza kujikuta unalipa TZS 120,000 bei ya kwenda na kurudi, hivyo ukitaka kufaidi nauli za FASTJET wahi kulipia mapema kabla ya siku ya safariHabari, wana jamvi naomba kufahmishwa kwa wale ambao wameshawahi kuipanda hiyo ndege.Kwan kuna jamaa yangu kaja jana kutoka mwanza na hyo ndege,kaniambia kuwa vitu kama vinywaji na vitafunwa unanunua kwa cash, sasa naomba uhakika wa hilo ili nitakapoanza kuzimeki ili na mm nipande ndege kwa mara ya kwanza niweke na ka akiba ka vinywaji,namaanisha kwa nauli ya tsh 32 elfu ya bila vat,nasubiri majibu yenu ili nikaweke booking ya kuondoka mwezi wa 6 kuelekea mwanza,mwisho asanten fastjet kwa kufanya ndoto zetu za kupanda ndege kuwa kweli,naomba mungu aniwezeshe nifke huo mwezi wa sitaa
kila la kheri kaka, kwa safari ya saa moja sio lazima kunywa soda au maji ndani
unaweza kula kabla hujasafiri au ukishafika mwanza ukanywa supu sato kabisa.
watakujuza waliopanda fastjet
hizo bei za juu baada ya hizo nafasi 30 kuisha ni sh ngapi?
Ok Mr Wakinyora nimekupata na kukuelewa vizuri sana, nashukuru kwa taarifa.mheshimiwa Mroso,sijasema kwamba kila flight ina nafasi 30 za 32,000/=huo ni mfano nilitoa.nilikuwa nikimaanisha kwa kila flight kuna nafasi za 32,000/= ambazo sijui idadi yake.na kwa kawaida kwa kila ndege unapokata tiketi mapema huwa unapata kwa bei nafuu kuliko unavyokata muda mfupi kabla ya safari.na hii pia inategemea kama kuna nafasi za aina hiyo.unaweza kukata mwezi mmja kabla ya
safari lakini kama kuna watu walikuwahi kukata na wakawa wamejaza hizo nafasi then utakuwa umechelewa.mfano mwezi wa kumi na mbili fast jet ilikuwa imejaa sana kiasi kwamba kuna siku ulikuwa hupati nafasi kabisa.mfano mwingine ni leo nimemkatia wife dar-mwanza kwa sh 32'000/=lakini baada ya nusu saa hivi kuangalia tena buking ile ile ikawa imepanda na kuwa 48'000/=bila kodi.siwezi kusema bei ya mwisho ni ngapi but huwa inafika mpaka laki na nusu na kuendelea.mfano kama unataka usafiri leo hii hii gharama itakuwa kubwa
Ustake n'cheke. Nina dada anayeogopa kusafiri kwenye maji ile mbaya.Ndio hivyo mkuu...bora yako una ndoto za kupanda dege...wengine hata tukiambiwa kapande ni bure tunaogopa kuanguka......
Nauli ya eflu 32 Dar -Mwz kwa ndege za FastJet ilikuwa na bei ya 'promoshen' na ilisha 'expire' sijui ni kwa nini bado wanaendelea kutangaza nauli hiyo!
Bado ipo mkuu,nimelipa juzi kwa safari ya 13th feb,86060tzs kwa kwenda na kurudi,na unalipa kwa mpesa tu,nna ticket hapaNauli ya eflu 32 Dar -Mwz kwa ndege za FastJet ilikuwa na bei ya 'promoshen' na ilisha 'expire' sijui ni kwa nini bado wanaendelea kutangaza nauli hiyo!