Hufanyi kosa! Labda kama kuna sababu zingine mbali na hiyo. Kama umempenda kweli muoe ya wajomba na mama wadogo waachie wenyewe. Wazazi wa huyo dada wamekukubali?!
You must kidding right?
What is the problem here! Mjomba kazaa na mdogo wake, so what? Au unakumbuka maunao ya mzazi mwezio na unatafuta loop hole ya kutokea sio! What a waste!
Acha uzoba,soma kilicho andikwa na ujibu kitokana na
content ya habari.
Akili yako inafanana na huyo kwenye avatar yako! "mama mdogo wa huyo binti alizaa na mjomba wangu" hawakuoona! so what? Nilishakuambia bado unakumbuka mauno ya mzazi mwenzio? Mapenzi ya kweli hayaulizi maswalii trivial kama hilo!!
Sorry,sijui umeongea lugha gani.
Natumia kiswahili,kiingereza,kusukuma,kikurya,kuzanaki, kikabwa na
(kidoogo kijita).
ukiongea lugha hizo nitakuelewa sana.
Thanks rocky,i just need to be sure
kwamba sifanyi kosa
Aisee?
Kuzaa wazae wao, kuoana musioane nyie... Ingekuwa hivyo basi Wazanzibar wote wasingeoana!
Usitafute sababu ya kumpiga chini dada wa watu.Mjomba wako kuzaa na anti yake haihusu kabisa
Sorry,sijui umeongea lugha gani.
Natumia kiswahili,kiingereza,kusukuma,kikurya,kuzanaki, kikabwa na
(kidoogo kijita).
ukiongea lugha hizo nitakuelewa sana.
acha dharau mdogo 'angu.
Umekuja kutaka ushauri afu unaleta nyodo?
Afanalek!
Usitafute sababu ya kumpiga chini dada wa watu.Mjomba wako kuzaa na anti yake haihusu kabisa
Binafsi naona kama ni tatizo/kizingiti kimeingia kati yetu.
Pamoja na hivo,nadhani kwendelea mbele ni rahisi kuliko kurudi nyuma baada ya kuona kizingiti hiki.