Maendeleo Hayana ChamaMzee tutakula flyovers[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duh.. Bongo bongonyoso... Mkuu mpaka kufika huko imekugarimu kiasi gani kabla sijapata wazo la kuzamia
haaaa babu aliwahi niambia hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke sawa na kutembelea muwa kama mkongojo jangwani lazma kiu ikikushika uunyonyeNiko Lesotho mkuu
Ukipata chance karibu
Ukirudi Tanzania Utakuta Tunaanza Kuwauzia Wazungu Mitumba Maana Viwanda Vitaanza Uzalishaji[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mungu ibariki Tanzania
Kwani kuna ubaya mkuu? Muhimu kulinda afya tu tena na maisha ya huku nikipata mbongo m1,natulia tuliiii maana kuna ukimwi Wa haja.haaaa babu aliwahi niambia hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke sawa na kutembelea muwa kama mkongojo jangwani lazma kiu ikikushika uunyonye
Unafikaje na 500k?Mkuu jipange na laki tano utafika vizur ila uwe na pakufikia
Mbona hapa uyoleKwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Hiyo hapo pembeni chini kwenye nguzoSijabeba Rambo Mzee hilo Ni sweta
Tupia ABC mpaka kufika huko kwa kujibu maswal hayaHizo Ni takataka zinasubiri wabebaji