Ndani ya bunge maalum la katiba...

Ndani ya bunge maalum la katiba...

pu.mba.a.a.a.avu.u.u.uuuuu

hivi kwa mfano eti huyo ndo baba watoto wako! halafu ni maarufu kweli street then uko na wanawake wenzio mnaangalia bunge la katiba, then unaona anafanya hivyo! ungefanya nini mamii!?
 
Nilikuwa kwenye browser ya BB ilikuwa haiioni hiyo picha, kwa sasa nimeona.

ok mama!

nipe neno hapo! kwanza kalenga nani kashinda? sijapata feedback aisee!
 
Back
Top Bottom