Haaaa....!!! Watoto wake watajisikiaje waonapo picha ya baba yao namna hiyo?? Zee limejishushia status yake hili daaah!! Ningekuwa na mamlaka ningemfukuza na viboko vya mgongoni kama mtoto maana niwajumbe wangapi walishindwa kuongea point za msingi kwa niaba yetu tokana na upumbavu wake??!!
Siku hizi umri sio kigezo cha kuwa na busara pamoja na uwezo wa kuchanganua mambo badala yake watu wazima kama hawa ndo wamekuwa ovyo kabisa mbele ya jamii.Watoto wetu wanajifunza nini kutoka kwa mtu kama huyu?Yeye pekee ndiye anaweza kuwa na jibu kwa swali kama hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.