mmmmh jamani ushamba wake kwenda Belgium ha ha ha picha memories ila angetunza nyumban kwake.
miss u much pia my mkwe,usiwe kimya hivo basiHahahaha mkwe wangu yaani me pia sipendi tabia hiyo tupo sare sare.....nimekumis sana mkwe
Kabisa kabisa na me nimemnola leo . [emoji1]
Sio mimi huyo Mdogo wangu .Kapendeza "well played MziziMkavu " umetuwakilisha wa TZ kwa Usmartness wako !!@Tabby acha bhana......
Wallah yupo maridadi....basi apite huku kwetu nae !!Sio mimi huyo Mdogo wangu .
Sio mimi huyo Mdogo wangu .
Huyo ni sheikh sio mtu wa kwenda Disko Mkuu minuzasa mbona unamchoresha dogo,picha kwenye ndege,au daladala za london,bora uweke picha za kwenye mapare,au maclub unakula bata,hizi ulizoweka mkuu naona kama zina reflect something idont know yet,but poa tu yote maisha watu tunatoka mbali u know !!
ha ha ha hili jogoo la Tot halipotei si unaona anavyochunga mzigo wake?
asa mbona unamchoresha dogo,picha kwenye ndege,au daladala za london,bora uweke picha za kwenye mapare,au maclub unakula bata,hizi ulizoweka mkuu naona kama zina reflect something idont know yet,but poa tu yote maisha watu tunatoka mbali u know !!
Utakavyofikiria wewe ninakuacha kama ulivyo......hakuna bwana ni wewe
Utakavyofikiria wewe ninakuacha kama ulivyo......