Ndani pachungu

Ndani pachungu

Could hit your bitch, you could never hit mine, nigga
In my PM, they electric slide, nigga
 
Naishi na mume na mtoto wa wifi angu ana 26 miaka kaja kurudia mtihan
Kweli ananinyima usingizi bint hataki umwambie chochote akikosea ukimrekebisha ananuna anisemesh

1) ana group la wanafunzi wenzie wakija kusoma mpaka unaona aibu mavazi waliyovaa yaajabu ..maongez yao niyawanaume tu nikampiga marufuku mbele ya mjomba wake hawa mabint Kama hawana nguo nzuri za kuvaa nisiwaonde ndan kwangu...
alinuna wiki nzima, mama mkwe alipokuja kutusalimia ambae Ni bibi yake kamlea akaanza kuwaleta tena nilivyomkataza alizila kula wiki siku 2 mama mkwe akanichukia

2) anakibur yan usimwambie hata fanya usafi anataka yeye ndie apange kila kitu ndan akikosea usimwambie kitu
Mbaya zaidi mme wangu yaan nimpole kupita maelezo ambae hawez kuongea wala kukemea kitu yan hata kwangu nimtu asieweza kabisa
Bint anaweza rudi ata usiku mjomba wake anaishia kuguna tu
Nimejaribu kumweleza tabia ya mwanae lkn ananyamaza tu
Sijui nifanyeje jmn
Miaka 26 unahangaika nae?
 
Achana nae

Ila mimi ningekua mjomba yake alafu anarudi saa 2 ningemtandika bakora ata Kama mtu mzima🤬🤬🤬😤
 
Issue ni kibur dah!!! any way Asante nitajitahidi tu Mungu anisaidie
Usijali achana nae, halafu me nafundisha Tuition nipe namba yake ,anasoma history na English language?
 
Naishi na mume na mtoto wa wifi angu ana 26 miaka kaja kurudia mtihan
Kweli ananinyima usingizi bint hataki umwambie chochote akikosea ukimrekebisha ananuna anisemesh

1) ana group la wanafunzi wenzie wakija kusoma mpaka unaona aibu mavazi waliyovaa yaajabu ..maongez yao niyawanaume tu nikampiga marufuku mbele ya mjomba wake hawa mabint Kama hawana nguo nzuri za kuvaa nisiwaonde ndan kwangu...
alinuna wiki nzima, mama mkwe alipokuja kutusalimia ambae Ni bibi yake kamlea akaanza kuwaleta tena nilivyomkataza alizila kula wiki siku 2 mama mkwe akanichukia

2) anakibur yan usimwambie hata fanya usafi anataka yeye ndie apange kila kitu ndan akikosea usimwambie kitu
Mbaya zaidi mme wangu yaan nimpole kupita maelezo ambae hawez kuongea wala kukemea kitu yan hata kwangu nimtu asieweza kabisa
Bint anaweza rudi ata usiku mjomba wake anaishia kuguna tu
Nimejaribu kumweleza tabia ya mwanae lkn ananyamaza tu
Sijui nifanyeje jmn

Ukikiamini kitu kwamba ni makosa hasa nyumbani kwako wewe kisimamie na utashinda, lakini Kama ni majungu na umbea utaaibika, kwa miaka hii sioni ni namna gani utapambana na mavazi ya watoto wa watu waiokuwa wakwako, waache tu, na siamini kama ni mavazi mabaya kiasi hicho, maana wangefikaje hapo kwako kama ni mabaya, wangepata tabu barabarani! Wewe fuata mambo yako
 
Ongea na mumeo faida na hasara za huyo bint kuwepo hapo, hasara ya kwanza ishajitokeza ma mkwe kukuchukia, na ikibidi mukampangie tu kwa sababu matokeo ya haya yatakuwa mabaya zaid kuliko hzo pesa mtakazotumia
 
Naomba namba zahuyo binti nimfanyie maombi abadilike lasihivyo ataharibu ndoa yako nitumie nambazake
 
Ndugu we tulia tu. Kuishi na mtu mzima mwenzio yeyote ni kipaji.
Just do you.
 
Ni kwa sababu kwenye hiyo ndoa anateseka mwanamke kwahiyo inaonekana kawaida ila angekuwa anateseka mwanaume ungeshasikia kauli kama "wanawake ni mashetani" mara "wanawake wa siku hizi hawafai kwa kuoa ni wa kupiga na kusepa tu" na mambo kama hayo
Wanawake wengi mnayafanya maisha yenu kuwa magumu bila sababu ya msingi.

Huyo binti ujue hapo kichwani kwake ni kopo tu hamna akili.

Unashindana vipi na mtu mzima tena mwehu?!!

Hao rafiki wa huyo binti na nguo zao za ajabu wanamdhuru nini huyu jacky 1 ?

Watu wazima ambao ni failure kitabia unataka kuwabadili tabia uzeeni?

Nahisi pia huyu mama mwenye nyumba ni insecure(hajiamini) kiasi flani anaogopa hao magube gube watampora mume wake.

Mwezi wa 10 sio mbali atamaliza mitihani, aweke msimamo akimaliza aondoke hapo kwake.
 
Sawa Mkuu

Mmeo ndo analea huu upuuzi. Usigombane na ndugu, cha kufanya mnyamazie usimuagize afanye kitu chochote, hela ya matumizi usimpe. Jifanye kama vile humuoni.atamaliza shuleni na kuondoka.
 
Back
Top Bottom