Naishi na mume na mtoto wa wifi angu ana 26 miaka kaja kurudia mtihan
Kweli ananinyima usingizi bint hataki umwambie chochote akikosea ukimrekebisha ananuna anisemesh
1) ana group la wanafunzi wenzie wakija kusoma mpaka unaona aibu mavazi waliyovaa yaajabu ..maongez yao niyawanaume tu nikampiga marufuku mbele ya mjomba wake hawa mabint Kama hawana nguo nzuri za kuvaa nisiwaonde ndan kwangu...
alinuna wiki nzima, mama mkwe alipokuja kutusalimia ambae Ni bibi yake kamlea akaanza kuwaleta tena nilivyomkataza alizila kula wiki siku 2 mama mkwe akanichukia
2) anakibur yan usimwambie hata fanya usafi anataka yeye ndie apange kila kitu ndan akikosea usimwambie kitu
Mbaya zaidi mme wangu yaan nimpole kupita maelezo ambae hawez kuongea wala kukemea kitu yan hata kwangu nimtu asieweza kabisa
Bint anaweza rudi ata usiku mjomba wake anaishia kuguna tu
Nimejaribu kumweleza tabia ya mwanae lkn ananyamaza tu
Sijui nifanyeje jmn