Ndani jumba

Ndani jumba

Gaguri

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Nachokitafuta ntakipata?kisichopatikana kwingine hapa kitapatika?je utofauti ntaupata?twende pa1 2kacheki
 
facebook language is not allowed here..BTW you are welcome..
 
karibu sana,
raha ya humu ukitafuta lzm nawe utafutwe!
 
Nachokitafuta ntakipata?kisichopatikana kwingine hapa kitapatika?je utofauti ntaupata?twende pa1 2kacheki

Unachokitafuta hapa utakipata. Kisichopatikana kwingine utakipata na utofauti wa hapa na kwingine utaupata. karibu sana JF the home of great thinkers.
 
Back
Top Bottom