kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,057
- 2,163
Vidume yanga tumepata point 3 muhimu saana. pompoooooooo namungoooo kaeni mkao wa kuliwa
Point 10Yanga inafikisha points ngapi mpaka sasa?
Mwadui na Ndanda yupi mbovu? Huyo mwadui kila timu inajipigia kasoro Mikia tu! Wape heshima yake wananchi!Ila ndanda hawana timu asee japo hawajafungwa ila hawana washambuliaji wa maaana hii timu haieleweki sema Yanga wachovu tuu wangewatandika nyingi saana
Point 10
Mwadui na Ndanda yupi mbovu? Huyo mwadui kila timu inajipigia kasoro Mikia tu! Wape heshima yake wananchi!
Na mm nimeona hivyo.Mimi ni yanga pure pamoja na team yetu kuwa butu/mbovu ila ukweli tuuseme Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko msimu uliopita. Mtazamo wangu tu inawezekana sijui soccer
Mimi ni yanga pure pamoja na team yetu kuwa butu/mbovu ila ukweli tuuseme Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko msimu uliopita. Mtazamo wangu tu inawezekana sijui soccer
Simba unaifahamuje?Mimi ni yanga pure pamoja na team yetu kuwa butu/mbovu ila ukweli tuuseme Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko msimu uliopita. Mtazamo wangu tu inawezekana sijui soccer
Ajibu anakusalimiaYanga Leo ilibidi ishinde, ili kutuliza Hali ya Hewa.
Mimi ni Simba mnyama.
Naifahahamu kwa Umbumbumbu waoSimba unaifahamuje?
Ajibu yuko Simba kwa ajira tu Ile yeye Ni Yanga damu. Mimi najua kuwa hataAjibu anakusalimia
Ajibu yuko Simba kwa ajira tu Ile yeye Ni Yanga damu. Mimi najua kuwa hata
Yondani na Ngasa waliichezea Simba, Ila walivyoifanyia Simba Shahidi ni Bahari.
Ngasa kwenye sita anapaisha mpira.
Ni ajabu na Kweli ya Ajibu
Yondani Kuna siku eti alishikwa na msuli, alipomwona Ngasa anaenda golini na akafunga.
Ten teh teh vipi mamluki wenu Bartez aliewapa goal 3 za kingese?Yondani Kuna siku eti alishikwa na msuli, alipomwona Ngasa anaenda golini na akafunga.
Kuna mechi ya kwanza ya Simba na Yanga ya Uwanja mpya wa Mkapa.
Beki Yondani, dakika ya 90 ikapigwa kross, Yondani Kama beki wa Simba nyuma yake kulikuwa na Mshambuliaji wa Yanga, alijidondosha ili yule Mshambuliaji afunge na akafunga. Ni Mshambuliaji wa nje ya nchi yetu. Mimi nakumbuka Sana.
Yaani Yondani, Ngasa na Sasa Mamluki Ajibu hawakuwahi kuitendea haki Simba SC.
Ajibu tunamchunguza na akiendelea Hana mkataba mwingine na Simba.