Ndanda vs Yanga ni msiba usio na matanga

Ila ndanda hawana timu asee japo hawajafungwa ila hawana washambuliaji wa maaana hii timu haieleweki sema Yanga wachovu tuu wangewatandika nyingi saana
Mwadui na Ndanda yupi mbovu? Huyo mwadui kila timu inajipigia kasoro Mikia tu! Wape heshima yake wananchi!
 
Yondani Kuna siku eti alishikwa na msuli, alipomwona Ngasa anaenda golini na akafunga.
Kuna mechi ya kwanza ya Simba na Yanga ya Uwanja mpya wa Mkapa.
Beki Yondani, dakika ya 90 ikapigwa kross, Yondani Kama beki wa Simba nyuma yake kulikuwa na Mshambuliaji wa Yanga, alijidondosha ili yule Mshambuliaji afunge na akafunga. Ni Mshambuliaji wa nje ya nchi yetu. Mimi nakumbuka Sana.
Yaani Yondani, Ngasa na Sasa Mamluki Ajibu hawakuwahi kuitendea haki Simba SC.
Ajibu tunamchunguza na akiendelea Hana mkataba mwingine na Simba.
 
Ten teh teh vipi mamluki wenu Bartez aliewapa goal 3 za kingese?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom