figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,536
- 62,033
Hao ndio wanaofanya maisha yazidi kuwa magumu. Afadhali wamemuondoa kudadadadeki
WaTZ wenzenu walioko nje wakifanyiwa hivo hizo nchi mnaita wabaguzi, kumbe na nyie wabaguzi ehe! Kama hakuwa na vibali sawa ila kama wanampa alafu wanamzunguka hapo si sawa.
mbona wanamsumbua namna hii???
Kamata wageni wote na kurudisha makwao
mnh mbona siku nyingi anafukuzwa mara anarudishwa....................BASHE sijui watampeleka wapy
yani hawa wahindi ni watu wa ajabu sana! Yani pesa yote wanapata inarudi kwao hata kujenya nyumba ya chumba kimoja hawataki!wangeanza na wahindi wanaoinyonya nchi yetu hata kujenga nyumba hawataki wanaishia kukaa kwenye nhc wakongo wamewaonea ni ndugu zetu hao
Kamata wageni wote na kurudisha makwao
kila binadamu ana roho mbaya
Jela jela kubaya. Dawa yao malipo yawe yanafanyika kwa Cheque ndio utakuwa mwisho wa rushwa Idara ya uhamiaji