Ndalichako wewe profesa bwana

Ndalichako wewe profesa bwana

hhhhj

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
41
Reaction score
68
NDALICHAKO WEWE NI PROFESA BWANA
Hebu kaa tafakari hivi kodi iliyokuwa ikiwasomesha imeenda bure?....

Hebu tafakar mlipo kuwa mnasomesha mlitegemea wakimaliza wakachome mahindi?....

Njoo na takwimu wangapi wapo kazini,masomoni na idadi ya wanafunzi iliyopo na uwiano baina ya mwalimu na wanafunzi ndiyo useme wanatosha...

Au unadanganyika na huo wingi unao uona kwa shule za mijini..

Haya huko wengi na za msingi je nao wamejaa...profesa funguka pesa hakuna watu wajikite na shughuli zingine mazima...

Nahii athari yake kukaa muda mrefu wengi wanasahau na kupoteza haiba ya ualimu na humpelekea baadala ya kumuona mwafunzi wake anamuona demu wake au mmesahau waalimu wa MEMKWA 2005 wale awamu ya kwanza
 
ningechangia tatizo hyo avanta yako...
Sijui anamuuliza Ndalichako nini wakati chama chake ndio kipo madarakani na hakipo tayari kuajiri kwa ukosefu wa plan na fedha, ratio ya Mwalimu na mwanafunzi ni ndogo, ila kumbuka unayemuuliza hatumii pesa zake mfukoni, anachoangalia kweli upungufu ipo Zaidi masomo ya sayansi, anataka kupunguza gap huko pia maana pesa za kuajiri hakuna
 
mdogo wangu hizo ni fikra huru, wa tz 90% tukifkia hatua ya kukosoana ndan ya vyama vyetu au taasis zetu tutapga hatua.
 
Afu utasikia viongozi wa serikali wmekazana kusema tujiajiri!yani Mimi nisome BA.ED yangu afu nkalime??.Si afadhari ningeambiwa mapema nisomee basi kilimo,achen masihasara!
 
samahan bajet ni ndogo sana na elimu sisi hatukuiweka kwenye ilani sisi ni viwanda kama mungelitaka elimu mngemchagua yule wa nywele nyeupe alisema kuwa moja elimu,mbili elimu na Tatu elimu samahanini sana walimu tutawaajili kama unskilled labourers viwandani
 
MTALALAMIKA NO ACTION AT THE END HAHHAHHHAHHAHHHHAAAAA MAWEEEEEEE
 
NDALICHAKO WEWE NI PROFESA BWANA
Hebu kaa tafakari hivi kodi iliyokuwa ikiwasomesha imeenda bure?....

Hebu tafakar mlipo kuwa mnasomesha mlitegemea wakimaliza wakachome mahindi?....

Njoo na takwimu wangapi wapo kazini,masomoni na idadi ya wanafunzi iliyopo na uwiano baina ya mwalimu na wanafunzi ndiyo useme wanatosha...

Au unadanganyika na huo wingi unao uona kwa shule za mijini..

Haya huko wengi na za msingi je nao wamejaa...profesa funguka pesa hakuna watu wajikite na shughuli zingine mazima...

Nahii athari yake kukaa muda mrefu wengi wanasahau na kupoteza haiba ya ualimu na humpelekea baadala ya kumuona mwafunzi wake anamuona demu wake au mmesahau waalimu wa MEMKWA 2005 wale awamu ya kwanza
Wambie wewe mwenye picha ya chama chao labda watakuelewa maana...
 
Back
Top Bottom