Ndalichako ulikoni katumbuliwa? Kakanyaga waya nini?

Ndalichako ulikoni katumbuliwa? Kakanyaga waya nini?

Mama anauuwezo mkubwa.

Necta hakukuwa na maswali na matokeo ya mchezomchezo
 
Ukiuloza watu wa wizara aliyohudumu watakwambia HAFAI mbali na kujenga shule jimboni kwake na kuipa jina lake binafsi NDALICHAKO
 
Ndiyo Hivyo Sasa Hivi Ni Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu Tunawahi Taa Za 2025
MudaHuu Gari Ilikuwa Inachomwa Yaani Ila Mzee Hajafa
 
Back
Top Bottom