Huu ni uzembe kabisa, maafisa elimu msingi wamekuwa wakiwashurutisha wanafunzi wa darasa la tatu na sita kwenda shuleni wakati wa likizo ya desemba, huu ni uzembe . Siku za kwa mwaka mzima zipo 195 , mtoto anahitaji kupumzika ndio maana wakaweka likizo. Mtoto anahitajika kumsaidia mzazi kazi za kilimo ili ajifunze stadi za nyumbani.
Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .

mkuu embu acha kuwafkiria walimu vibaya,unafaham kias au ela wanayochangishwa watot hao mpaka useme ni njia ya kujipatia kipato cha ziada? si vzur walimu wakiwaacha watot wazaz huwa wanasem hawafanyi kaz au watot wakat wa likizo wanakuwa kero kwa maana hawana cha kufanya lakin wakiendlea kuwafundisha kipind cha likizo ati wanajipatia kipato...kweli?Si kwamba walimu wanataka watoto hao wafaulu bali ni njia ya kujipatia kipato cha ziada. Ukweli tabia hii ikomeshwe.
Naunga mkono hojaHuu ni uzembe kabisa, maafisa elimu msingi wamekuwa wakiwashurutisha wanafunzi wa darasa la tatu na sita kwenda shuleni wakati wa likizo ya desemba, huu ni uzembe . Siku za kwa mwaka mzima zipo 195 , mtoto anahitaji kupumzika ndio maana wakaweka likizo. Mtoto anahitajika kumsaidia mzazi kazi za kilimo ili ajifunze stadi za nyumbani.
Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .
Wewe unaogea usicho kijua, ama umekariri, au umesikia huna hakika, hakuna mwalim anae fuatilia pesa ya mwanafunzi saiz.Si kwamba walimu wanataka watoto hao wafaulu bali ni njia ya kujipatia kipato cha ziada. Ukweli tabia hii ikomeshwe.
Binadamu hatuna shukrani wazazi hao hao shule ikifelisha wanakuja juu Mara ooooh walimu hawafundishi daaah nataka moyo kwa kweli Mungu awabariki walimu wote kazi yenu si bureWewe unaogea usicho kijua, ama umekariri, au umesikia huna hakika, hakuna mwalim anae fuatilia pesa ya mwanafunzi saiz.
Fanya uchunguzi kabla ya kuongea. halmashauri nyingi zimetoa tamko kuwa walimu waendelee kufundisha madarasa yale yenye mitihani sana sana drs la sita ambao ni la saba mwakani, mbaya zaidi hata kama una likizo.