Ndalichako elimu sio ujazo wa madarasa.

Ndalichako elimu sio ujazo wa madarasa.

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,774
Reaction score
12,084
Nakiri kwamba nilijiunga chuo kikuu kwa cheti cha F4, baada ya kufaulu mtihani wa kujiunga (Mature Age Entry Exam). Sijawahi kusoma F5 & F6

Sikwenda A level wakati huo sababu ya sera ya serikali, siyo sababu sikufaulu F4.

Ajue kwamba elimu siyo vidato bali ukombozi wa fikra na uwezo wa kutumia ukombozi huo kuendeleza jamii yako.

Ukiwa na uelewa na ufahamu madhubuti, hata rational thinking haihitaji desa.

Nini maoni yako.
 
Mi naona Vyuo Vya Ufundi vyenye form 4 wengi na amabo hawakufika Hata Vyuo Vinatoa Impactt kubwa zaidi kitechnologia kuliko Vyuo hivi Vikubwa Watoto wanenda Fanya Uasherati tu
 
Mi naona Vyuo Vya Ufundi vyenye form 4 wengi na amabo hawakufika Hata Vyuo Vinatoa Impactt kubwa zaidi kitechnologia kuliko Vyuo hivi Vikubwa Watoto wanenda Fanya Uasherati tu
elimu ya watu wazima haipo kwenye equation ya prof Ndali. Sikiliza kauli zake kwa makini.......hya ni shda
 
Hivi Prof Ndali alisema kwamba kama hujapita form 6 hujiungi Chuo kikuu au kama hukupata sifa za kwenda A level yaani credits 3 potelea mbali kama baada ya 4 ulienda kusoma cheti au diploma ndo hurusiwi kwenda Chuo kikuu? Naomba ufafanuzi aliyemsikia vizuri tafadhali.
 
Back
Top Bottom