Hongera zake, waliokuwa wanapiga kelele, walikuwa wanamuonea wivu. Ni miongoni mwa watendaji ambao walikuwa smart and yuko smart. Anastahili kufika hapo alipofika, hajabebwa. ANa sifa, mnaomuonea wivu muonea ila fahamu kuwa hamuwezi kumvua uprofesa wake