zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,345
- 9,837
Watasubiri sana.
Mkuu vijana wa Lumumba leo hawajapata mgao wao, nadhani kibaraka wao zitto hajalipwa fungu la pili
Watasubiri sana.
Mkuu vijana wa Lumumba leo hawajapata mgao wao, nadhani kibaraka wao zitto hajalipwa fungu la pili
Mkuu,
Kata za Butimba na MAhina uchagizi wao ulifanyika mwezi wa sita.
Eti CCM na vibaraka wao wa ACT wanataka kuua Chadema.Hizo ni Ndoto za Abunuasi
Uchaguzi mdogo wa mwenyekiti wa kitongoji cha Nkoanasar kata ya songoro Arumeru Mashariki.
Chadema kura 64
CCM kura 07.
Jumla ya kura zote 70.
Arusha uchaguzi wa Chadema ni msingi umekamilika katika kata 12 kati ya 19 na zilizobaki zitakamilika kabla ya July kuisha!
Waache maccm yaendelee kuhangaika na kiti cha Mbowe, sisi tunakijenga chama!
Mkuu,
Kata za Butimba na Mahina chaguzi zake
zimeshafanyika toka mwezi wa sita.
Wakuu
Kama mnavyojua kuwa uchaguzi ndani ya chama unaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini kuanzia ngazi ya msingi, matawi na kata. Leo umefanyika uchaguzi wa kata ya Nyakato wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza.
Uchaguzi huo ulikuwa na wagombea watatu, Wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti walikuwa ni Ndaisaba Burushi, John Membe na Didas Seyuu.
Wagombea hao na kura zao
1. Ndaisaba Aroni Burushi - kura 45.
2. John Membe kura - 33
Na
3. Didas Seyuu kura - 22.
Jumla ya wapiga kura ni 100. Hakuna kura iliyoharibika.
Kata hiyo sasa inaungana na kata nyingine zilizo maliza chaguzi kujiandaa kwa uchaguzi wa wilaya, mkoa na baadae Taifa.
Pichani ni matukio wakati wa uchaguzi huo.
Kwahiyo huyo NDAISABA 'Mrundi' ndio mmeona anafaa kuwa kiongozi bora, wakati wazawa wako wengi!
CDM haiishi vituko!!!
Ni kama vile katibu Mkuu wetu Msomali.
CDM na CCM bado ni janga katika kumkomboa mtanzania masikini!
Kwanini nafasi hizo wanapewa wavamizi hali wazawa wakibakia kuwapigia makofi hawa wavamizi na wakimbizi!!!
CHADEMA ni Mpango wa Mungu
A family company! Wenye akili za kushikiwa tu ndio wanaoamini kuwa CDM ni mpango a muungu wa kaskazini!