Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Wakuu
Kama mnavyojua kuwa uchaguzi ndani ya chama unaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini kuanzia ngazi ya msingi, matawi na kata. Leo umefanyika uchaguzi wa kata ya Nyakato wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza.
Uchaguzi huo ulikuwa na wagombea watatu, Wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti walikuwa ni Ndaisaba Burushi, John Membe na Didas Seyuu.
Wagombea hao na kura zao
1. Ndaisaba Aroni Burushi - kura 45.
2. John Membe kura - 33
Na
3. Didas Seyuu kura - 22.
Jumla ya wapiga kura ni 100. Hakuna kura iliyoharibika.
Kata hiyo sasa inaungana na kata nyingine zilizo maliza chaguzi kujiandaa kwa uchaguzi wa wilaya, mkoa na baadae Taifa.
Pichani ni matukio wakati wa uchaguzi huo.