masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,613
- 14,556
Licha ya maneno maneno mengi, ati Magufuli hakanyagi Mbeya, na aidha Mbeya wanamchukia, ilikuwa uongo mtupu.Mungu ambariki Mh Rais JPM...ni jambo zuri sana
Mkuu hizo hadithi tumezisikia kwa miaka 30 toka enzi za Mwinyi.Kila Jambo na wakati wake si Kila yanayofanyika sasa yameanza Sasa michakato ya barabara inachukua muda mrefu kwani hata mabasi ya mwendo Kasi licha ya kuanza kazi awamu hii michakato ilianza tangu enzi ya Mwinyi
Mkuu mdogo wangu alivonipigia simu toka Busokelo, furaha yake niliisikia akitaka kulia kwa shukrani.Aisee leo nina furaha ya milele naamini nitalala vizur sana kwa kitendo alichokifanya mkuu wa nchi leo Pia 2020 tumpe kura nyingi ili tumshawishi atupigie njia ya ikuti kutuunganisha na ileje
Aisee mungu amsimamie kwa kwel namuahidi 2020 uchaguz nitakuwepo Mbeya kwenye kampeni za mgombea wa CCM nitatangaza mema yake yoteMkuu mdogo wangu alivonipigia simu toka Busokelo, furaha yake niliisikia akitaka kulia kwa shukrani.
Tumeteseka sana kwa barabara hizi za kwenda milimani, asante Magufuli.
Hao marais uliowataja wasingeweza kutekeleza kwa sababu kulikuwa na mambo yaliyokuwa ya msingi ya kipaumbele walikuwa wanayatekelezaNimewiwa kumpongeza sana Malafyale Rais, Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kukata kiu ya muda mrefu sana, ya ujenzi wa barabara za Katumba~Masebe~Lwangwa~Mbambo~Masoko~Tukuyu.
Nimepigiwa simu sasa hivi na mdogo wangu aliyeko Busokelo, akiwa amechanganyikiwa kwa furaha, kuwa ni Rais Magufuli aliye weka jiwe la msingi kufungua ujenzi wa barabara hiyo.
Hii imemtia simanzi kwa furaha.
Tukumbuke kuwa maraisi toka Mwinyi, Mkapa, Kikwete wote waliahidi kujenga barabara hizo lakini hawakuweza kutekeleza.
Hivyo kwa kutekeleza yale yeye mwenyewe alivyo ahidi, pamoja na ahadi za waliomtangulia, nasema Ndaga fijo na ubarikiwe sana Malafyale Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Unapo ahidi wananchi, ustaarabu ni kutekeleza.Hao marais uliowataja wasingeweza kutekeleza kwa sababu kulikuwa na mambo yaliyokuwa ya msingi ya kipaumbele walikuwa wanayatekeleza