Nchimbi, Kova wawakwepa Kibanda, Dk. Ulimboka

Nchimbi, Kova wawakwepa Kibanda, Dk. Ulimboka

upo sahihi mkuu,lakini wauaji ni watu wenye akili kubwa sana wanaweza kutumia weakness yako ndogo kukumaliza,unaweza ukatunza information zako kwenye data storage gadgets tofautitofauti,lakini only one folder ukajisahau likawa kwenye laptop tu(wauaji wanasoma mazingira kwa umakini nakujua kwa undani kila kitu kabla ya kutekeleza)
ndio maana nimesema kitu kimojawapo au zaidi ya hivi vingefanikisha malengo yao 1 kuua 2 kuiba laptop 3 au vyote 1&2.
kama angepona dr mvungi bado wauaji wangekuwa wamefanikisha kwa kiasi kikubwa lengo lao(kuondoka na laptop yenye information za muhimu,ambazo kuzipata tena it cost long time.

Nimekupata kamanda moes
 
Last edited by a moderator:
wauaji wana mbinu za kupoteza ushahidi, ili wasisthukiwe,iyo kuchukua fedha na simu ni mbinu tu ili kuonyesha waliofanya jambo ilo ni vibaka waganga njaa.
kwenye tukio hili lazima mtu alikuwa afe au laptop ioondoke au vyote viwili kwa pamoja,wamefanikiwa kwa vyote viwili,sasa jiulize kwa nini nimesema laptop ilikuwa inaitajika
Ukweli ni kwamba huyu jamaa naambiwa ni mzuri sana kwenye mambo ya sheria hasa mambo ya katiba na lilikuwa tegemeo kuu la Jaji Mstaafu Joseph Side Warioba na kuiiba laptop yake na kuumuua watakuwa wamefanikiwa maana sasa sijui huyu Warioba kama anaweza kuisema serikali yake....
 
“JESHI la Polisi limeonyesha wazi kuwa halina dhamira ya dhati ya kuwasaka na kuwatia
nguvuni wahalifu waliowateka, kuwatesa na kuwaumiza vibaya“
 
Back
Top Bottom